Sign In
Contact Us

ISP-Swahili

MUKUU ENEO

Shule ya santa ana ilianzishwa mmwaka wa 1915 kama mojawapo wa shule za zamani California. Wanafunzi kutoka dunia nzima wanaamua kusomea katika shule ya Santa Ana kwa sababu nyingi kama, mazingira yanayopendeza, usalama wa shule na pia utamaduni mbalimbali. Ukiwa katika shule ya Santa Ana unaweza kwenda mahali mbalimbali kwa urahisi kama  , pumbao mbuga( Disneyland, Universal studio, Knott’s berry farm na Six flags magic fountain). Ununuzi, (Southcoaast  plaza, fashion island, Irvine spectrum na cabazon outlets), milima iliyo na theluji ( bear mountain, snow summit,na mt baldy), alama zinazojulikana ulimwengu wote( Hollywood, Los Angeles,na Griffith park), fukwe (Santa Monica, Venice, Huntington, Newport na Laguna) na pia sanaa.
 
UCHAGUZI NAFUU

Shule ya Santa Ana ina elimu ya maadili. Malipo ya shule ni nafuu katika mfumo wa elimu ya juu ya California yote. Malipo ya chini ya ada, hali ya vifaa vya sanaa, kushugulikiwa vilivyo na walimu, darasa ndogo na pia msako makini kutoka kwa walimu waliohitimu. Kusoma katika shule hii ni jambo ambalo litaleta nufaa maishani mwako.
 
SHAHADA NA VYETI

Shule ya Santa Ana imepewa kibali na chama cha shule cha Western Association Of Schools. Shule hii hutoa shahada katika eneo mia moja kuu, cheti mipango katika eneo  mia moja na ishirini. Taaluma ya utaalamu na uhamisho kozi katika vyuo vikuu.Shahada na vyeti ni kama, Accounting, advertising, design,computer graphics, automotive, business administration, management,entrepreneurship, broadcasting, computer information systems, computer science, dance, digital music production,economics,electronics,engineering,entertainment industrymanagement,kinesiology,fashion design and merchandising, fire technology,child development, international business, journalism,library technology, marketing, music,nutrition,occupational therapy, pharmacy, psychology, television/video communications, theatre arts na nyingine nyingi
 
BILA SHAKA YA UHAMISHO

Shule ya Santa Ana ina makubaliano inayoruhusu wanafunzi kuhamia katika vyuo kumi vya California. UC Irvine, UC Los Angeles, UC Berkeley, vyuo vikuu kumi vya California State University kama CSU Fullerton, CSU Long beach ,Stanford na vyuo vikuu vingine katika marekani.
 
URAHISISHAJI WA KIINGEREZA

Programu yetu ya kiingereza ni nzuri sana na inasaidia wanafunzi kuongea kiingereza vizuri kabla ya kuanza masomo katika shule. Programu ya kiingereza ambayo ni Toefl Preparatory na Academically oriented, hufanywa mwaka wote katika, February, Juni na Agosti. Kila kipindi kina masaa ishirini na manne kila wiki ya mafunzo. Anza darasa na alama ya Toefl ya  450(PBT).
 
PROGRAMU YA WANAFUNZI WA KIMATAIFA

Programu hii husaidia wanafunzi wa kimataifa kuzoea maisha ya marekani na pia kimasomo, kwa hivyo shule ya Santa Ana inakuwa kama nyumbani. Wanafunzi husaidiwa katika admissions, registration, housing,transportation, immigration na mambo mengine mengi. Mawaidha ya bila malipo ya kimasomo na kibinafsi yapo. Wanafunzi wanaweza ishi na familia za kimarekani kupitia program yetu ya homestay ama wanaweza omba usaidizi kupata nyumba ya kukodisha.
 
MAISHA YA MWANAFUNZI

Wanafunzi wanaweza jihusisha na klabu tofauti, serikali ya wanafunzi, mashirika na pia katika michezo. Ofisi ya vitendo vya wanafunzihupeana shugli mbalimbali za shule na pia kimasomo. Shirika la International student Association husaidia watu kutoka nchi mbalimbali kujuana na huleta urafiki wa kudumu. Barbecues, beach parties, dances, skiing na out of town trips ni kati ya shuguli nyingi zinazoandaliwa mwaka mzima.

Translator/ Elizabeth Wambui Kamau, Kenya, Major: Biolog

home icon


  Tafadhali jisikie huru kuwasiliana hadi (714) 564-6047 au ishikawa_junko@sac.edu: kwa habari zaidi.
Lock_UP_2 
Santa Ana College is accredited by the Accrediting Commission for Community and Junior Colleges, Western Association of Schools and Colleges, 10 Commercial Blvd., Suite 204, Novato, CA 94949, (415) 506-0234, an institutional accrediting body recognized by the Council for Higher Education Accreditation and the U.S. Department of Education. Additional information about accreditation, including the filing of complaints against member institutions, can be found at: www.accjc.org.